Rais William Ruto ahutubia kongamano la Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi nchini Misri

  • | Citizen TV
    607 views

    Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi limeng'oa nanga huko kisri ambapo katibu mkuu w aumoja wa mataifa antonio guterres amezindua mpango w akuhakikisha kila taifa linapata utabiri wa mabadiliko ya hali ya hewa kwa wakati unaofaa. aidha rais william ruto amekutana na waziri kuu wa uingereza Rishi Sunak ambaye ameahidi kuwa uingereza itawekeza shilingi bilioni mia tano kwa miradi ya hewa safi. na kama anavyoarifu agnes oloo, mataifa ya Africa yana wasiwasi kuhusu ufadhili wa kudhibiti mabadiliko ya tabianchi.