Rais William Ruto aliongoza kikao cha UDA

  • | Citizen TV
    1,694 views

    Rais William Ruto ameongoza kikao cha baraza kuu la chama cha uda na kutangaza mipango ya kufanya ya uchaguzi wa chama hicho katika kaunti zote 47. Katika kikao hicho, chama cha uda kiliafikia kufanya uchaguzi wake mkuu kabla ya mwezi disemba mwaka huu