Rais William Ruto amesafiri kwenda Ghana kuhudhuria kuapishwa kwa rais mteule John Mahama

  • | Citizen TV
    5,981 views

    Rais William Ruto ameondoka leo alasiri kuelekea Accra nchini Ghana ambako ameratibiwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mteule John Mahama.