Rais William Ruto amesisitiza kuwa vita dhidi ya pombe haramu na dawa za kulevya vitaendelea

  • | Citizen TV
    1,926 views

    Rais William Ruto amesisitiza kuwa vita dhidi ya pombe haramu na dawa za kulevya vitaendela kwani vijana wengi wamenaswa kenye mtego wa ubugiaji pombe kupita kiasi na kushindwa kufanya kazi.