Rais William Ruto ametoa agizo kwa wizara mbali mbali kupunguza bajeti zao

  • | TV 47
    17 views

    Rais William Ruto ametoa agizo kwa wizara mbali mbali kupunguza bajeti zao za 2023/2024 kwa asilimia 10 ili kuwianisha matumizi na rasilimali zilizopo.Akiongoza kikao cha baraza la mawaziri katika ikulu ya Nairobi, rais ruto alisisitiza haja ya serikali kutumia busara katika matumizi ya rasilimali, akisema ufisadi hautavumiliwa.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __