Skip to main content
Skip to main content

Rais william Ruto amewahimiza vijana nchini kutogawanywa katika ziara yake ya kuwatunuku askari jela

  • | Citizen TV
    1,699 views
    Duration: 1:18
    Rais william Ruto amewahimiza vijana nchini kutogawanywa kwa misingi ya kikabila na kuwa wazalendo katika safari ya kubadilisha taifa Akizungumza alipohudhuria hafla ya kufuzu kwa mahafala 3,862 wa askari jela katika chuo chao eneo la Ruiru, Rais ruto amesema kuna haja ya wakenya kuweka kando tofauti zao na kuunga mkono agenda ya serikali ya kuweka taifa katika kiwango cha juu kama vile taifa la singapore. Kiongozi wa taifa pia ameelezea hatua wanayochukua kubadilisha maisha ya askari jela ikiwemo ujenzi wa nyumba 5,000.