Rais William Ruto amewarai wawekezi kuekeza barani Afrika

  • | Citizen TV
    864 views

    Rais William Ruto amewarai wawekezi kuekeza barani Afrika. Rais Ruto akizungumza kwenye kongamano kuhusu utandawazi na biashara barani Afrika linaloendelea hapa Nairobi amesema kuwa, mataifa mengi ya afrika yameimarika kimiundomsingi na yako tayari kuimarisha uwekezaji wake haswa wa mataifa ya kigeni. Ameongeza kuwa, mataifa mengi barani yameratibu sera na mikakati za kulainisha ufanyaji biashara barani