- 2,655 viewsDuration: 2:52Rais William Ruto amewasuta wapinzani wake na kuwataja kama viongozi wasiotaka wakenya kunufaika kwa miradi ya serikali. Ruto aliyezungumza katika kaunti za Busia na Kakamega, pia amesema kuwa muungano wa upinzani umejaa viongozi wasio na maadili ya uongozi.