- 4,077 viewsDuration: 3:31Rais William Ruto amemuomboleza hayati Raila Odinga kama kiongozi aliyesimama na taifa wakati lilipomuhitaji. Rais Ruto ambaye aliongoza taifa katika kumuomboleza hayati Odinga katika uga wa Nyayo leo, alimshukuru Odinga kwa kumsaidia serikali yake ilipoyumbayumba.