Rais William Ruto aomba msamaha kwa vijana wa kizazi cha Gen Z

  • | NTV Video
    1,551 views

    Rais William Ruto hatimaye ameomba msamaha kwa vijana wa kizazi cha Gen Z, takriban mwaka mmoja baada ya serikali yake kuwakamata kiholela, na kudaiwa kuwateka nyara na kuwaua kwa kuandamana

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya