Rais William Ruto aondoka nchini kuelekea Ujerumani kwa ziara ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara

  • | Citizen TV
    1,616 views

    Rais William Ruto aliondoka nchini kwenda Ujerumani na baadaye akipangiwa kuzuru Ufaransa, katika ziara ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Kenya na mataifa haya mawili