Rais William Ruto aongoza hafla ya kuwapa wapemba vitambulisho

  • | Citizen TV
    297 views

    Rais William Ruto amewasili kaunti ya Kilifi wakati anapoendeleza ziara yake ya siku tano eneo la Pwani la kukagua na kuanzisha miradi ya serikali kuu.