Rais William Ruto aongoza mkutano wa dharura

  • | Citizen TV
    773 views

    Rais William Ruto aliongoza mkutano wa dharura wa baraza la Mawaziri kuangazia janga la mafuriko lililosababishwa na mvua inaoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali nchini.