Rais William Ruto aongoza sherehe za mwaka mmoja tangu hazina ya Hustler kuanzishwa

  • | Citizen TV
    404 views

    Rais William Ruto anahudhuria hafla ya kusherehekea mwaka mmoja tangu hazina ya hustler kuanzishwa. Hazina hiyo imekuwa aikitoa mikopo kwa watu binafsi na makundi mbalimbali kuendeleza biashara mbalimbali ili kujiinua kiuchumi