Rais William Ruto aonya wanaopanga kuandamana

  • | Citizen TV
    28,118 views

    Serikali imetoa onyo kali kwa waandamanaji wasidhubutu kufika katika ikulu ya nairobi wakati wa maadhimisha ya kesho ya mwaka mmoja baada ya maandamano ya Gen Z ya mwaka jana. Akizungumza jioni ya leo, inspekta jenerali wa polisi douglas kanja pia amewataka wakenya kujizuia kuwachochea polisi.