Rais William Ruto asifia uwekezaji wa serikali ya Japan katika miradi muhimu humu nchini

  • | KBC Video
    42 views

    Rais William Ruto amesema Kenya inadhamiria kuimarisha uhusiano baina yake na Japan. Rais Ruto aliyeshauriana na waziri mkuu wa Japan, Fumio Kishida katika ikulu ya Nairobi alihimiza serikali ya Japan kuendelea kufadhili miradi humu nchini kama vile ujenzi wa maabara ya kisasa katika taasisi ya KEMRI, mfumo wa kiteknolojia wa uchukuzi jijini Mombasa na mradi wa kilimo wa Ahero. Viongozi hao wawili walikubaliana kuwa Kenya, shirika la IGAD na Jumuia ya Afrika sharti zisaidiwe kutatua mzozo unaokumba Sudan.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rutonewstoday #darubini