Rais William Ruto atetea rekodi ya utendakazi wa serikali yake

  • | Citizen TV
    2,552 views

    Rais William Ruto amesema kuwa atahakikisha miradi ya maendeleo aliyoahidi inakamilika kabla ya muhula wake wa kwanza kukamilika. Rais akizungumza baada ya kikao cha baraza la mawaziri amechambua kwa mapana ahadi za serikali yake zilipofikia.