Rais William Ruto atia saini mswada wa marekebisho ya sheria ya IEBC

  • | NTV Video
    146 views

    Rais William Ruto ametia saini mswada wa marekebisho ya sheria ya IEBC ya mwaka wa 2024 na kutaja masuala muhimu yanayozingira tume hiyo ya IEBC aliyoitaja kama jiwe kuu la demokrasia nchini Kenya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya