Rais William Ruto atupiana cheche za maneno na viongozi wa Azimio

  • | West TV
    105 views
    Huku viongozi na wafuasi wa mrengo upinzani wa azimio wakijiandaa kushiriki awamu nyingine ya maandamano kote nchini jumatano ijayo, Rais William Ruto ameapa kwamba kamwe maandamano hayatafanyika tena nchini chini ya uongozi wake