Rais William Ruto awaomba vijana wa Gen-Z msamaha

  • | Citizen TV
    11,758 views

    Rais William Ruto amewaomba msamaha vijana wa Gen Z, akiwarai kuungana naye kuleta mageuzi ya kitaifa. Akizungumza wakati wa hafla ya maombi ya kitaifa asubuhi ya leo, Rais Ruto pia aliomba radhi kwa taifa la Tanzania kutokana na vuta nikuvute kati ya Kenya na taifa hilo kwa siku kadhaa zilizopita.