Rais William Ruto awarai wakenya kuepuka maandamano

  • | Citizen TV
    1,214 views

    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kukashifu muungano wa Azimio kwa kile wanachosema ni mpango wa kuhujumu uchumi wa taifa. Wakizungumza huko Mugirango kusini kaunti ya Kisii katika hafla ya kupiga jeki vikundi kadhaa vya kina mama kwenye hafla iliyoongozwa na rais William Ruto, viongozi hao pia wameeleza msimamo wa serikali wa kuwapokonya silaha watu wanaozimiliki kinyume cha sheria.