Rais William Ruto awasili nchini India kwa ziara rasmi

  • | Citizen TV
    1,836 views

    Rais William Ruto amewasili nchini India leo kwa ziara rasmi ya siku mbili. Rais Ruto anazuru India kwa mazungumzo ya kibiashara na Waziri Mkuu Narenda Modi