Rais William Ruto awataka wabunge kupitisha mswada wa nyumba za bei nafuu

  • | Citizen TV
    1,125 views

    Rais William Ruto ametetea hatua yake ya kuwatoza wakenya kodi zaidi akisema kuwa taifa haliwezi kupata maendeleo kwa kutegemea madeni.