Rais William Ruto kutoa hotuba yake ya kwanza kwa taifa, meizi 14 baada ya kuchaguliwa

  • | Citizen TV
    1,037 views

    Rais William Ruto Adhuhuri Ya Leo Atatoa Hotuba Yake Ya Kwanza Kwa Taifa, Miezi 14 Baada Ya Kutwaa Uongozi Baada Ya Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Jana. Rais Ruto Anatarajiwa Kutoa Hotuba Yake Moja Kwa Moja Kutoka Bunge Mwendo Wa Saa Nane. Hotuba Ya Rais Itatolewa Kwenye Kikao Cha Pamoja Cha Bunge La Kitaifa Na Lile La Seneti.