Rais Xi Jinping wa China akutana na Antony Blinken mjini Beijing

  • | KBC Video
    24 views

    Rais Xi Jinping wa China akutana na Antony Blinken mjini Beijing Rais Xi Jinping wa China amekutana na kufanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ambaye amekuwa kwenye ziara ya siku mbili nchini humo. Kwenye mazungumzo yao Rais Xi alisema kuwa maslahi ya pamoja ya nchi hizo mbili yanapaswa kuthaminiwa, na mafanikio yao ni fursa na sio kutishana. Blinken amekuwa ofisa wa ngazi ya juu zaidi wa Marekani kutembelea China tangu Rais Joe Biden aingie madarakani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News