Rais Yoweri Museveni atetea kufunga mitandao ya kijamii kabla ya uchaguzi

  • | BBC Swahili
    Hujambo karibu katika AMKA NA BBC, kwa muktasari tuliyo nayo ni pamoja na ;- Rais wa Marekani Donald Trump atetea hotuba yake ya wiki iliyopita dhidi ya wafuasi wake adai ilikuwa sahihi kabisa Rais Yoweri Museveni athibitisha kufungwa kwa baadhi ya mitandao ya kijamii na hii ni Baada ya kampuni ya Facebook kuwafungia washirika wa karibu wa rais katika mtandao huo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imedhamiria kuyapa mapinduzi ya Zanzibar msukumo mpya wa kiuchumi. Asubuhi hii utakuwa nami Regina Mziwanda nikiwa mjini Dar-Es-Salaam na mwenzangu ni Roncliff Odit akiwa mjini Kampala ,Uganda. Hii ni BBC #UchaguziUganda2021 #AmkanaBBC #Uganda #DonaldTrump