Skip to main content
Skip to main content

Raphael Tuju aandikia barua Jaji Mkuu kulalamikia mnada wa mkahawa wake Karen

  • | Citizen TV
    5,938 views
    Duration: 2:01
    Waziri wa zamani na pia aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha Jubilee, Raphael Tuju amemuandikia barua jaji mkuu Martha Koome kulalamikia kile alichodai ni idara ya mahakama kutumika vibaya na kumnyima haki na hivyo kusababisha kupigwa mnada kwa mkahawa wake wa dari mtaani Karen…tuju amepinga vikali hatua hiyo akidai kutumika kwa wahuni kuvamia eneo hilo la biashara na kumvurusha kwa nguvu ni kunyume cha sheria