Rashid Echesa akamatwa baada ya kukwepa mtego wa polisi kwa siku moja

  • | NTV Video
    Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa ametiwa mbaroni baada ya kukwepa mtego wa polisi kwa siku moja, tangu aliponaswa kwenye video akimyaka kofi ofisa wa IEBC katika eneobunge la Matungu hiyo jana kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya