Rais atangaza tarehe 27 agosti kuwa katiba dei

  • | Citizen TV
    1,937 views

    Rais William Ruto ametangaza tarehe 27 agosti kuwa sikukuu ya kuadhimisha siku ya katiba. Kulingana na rais, katiba dei itakuwa ya kukumbuka siku ya kuidhinishwa kwa katiba ya mwaka wa 2010.