Raymond Omollo asema maandalizi ya sikukuu ya Madaraka uwanjani Masinde Muliro yameshika kasi

  • | Citizen TV
    346 views

    Katibu katika wizara ya usalama daktari Raymond Omollo amesema kwamba maandalizi ya sikukuu ya Madaraka katika uwanja wa Masinde Muliro kaunti ya Bungoma yameshika kasi.