RBA yaonya wanaokosa kuwasilisha makato ya malipo ya kustaafu

  • | Citizen TV
    147 views

    Mamlaka ya malipo ya kustaafu -RBA- imesema itatumia njia zote za kisheria kuhakikisha taasisi za serikali ambazo hazijatuma pensheni ya wafanyikazi wao kwenye akaunti husika zimefanya hivyo kwa haraka.