Red Cross watangaza kuwa wanaoripotiwa na jamaa kupotea wafika 300

  • | Citizen TV
    1,903 views

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupotea huku jamaa wakiendelea kupiga ripoti kwa shirika la Red Cross mjini Malindi, kubaini endapo jamaa zao ni kati ya wale waliofariki Shakahola. Familia za jamaa hawa zikiendelea kufika katika makafani ya hospitali ya Malindi kupata habari zaidi.