Redio Egesa kwa ushirikiano na viongozi wa Kisii yaandaa hafla ya kuadhimisha siku ya wanawake

  • | Citizen TV
    288 views

    Ulimwengu unapoadhimisha siku ya Kimataifa ya wanawake, stesheni ya redio ya Egesa kwa ushirikiano na uongozi wa kaunti ya Kisii imeandaa hafla ya kuadhimisha siku hii Kule Kenyenya Bomachoge Borabu. Hafla hiyo pia inahudhuriwa na Mwakilishi wa kike wa kaunti ya Kisii Dorice Aburi na Seneta mteule Essy Okenyuri pamoja na washikadau wengine .