Refa Mary Njoroge ateuliwa kuwa Refa katika michuano ya Kombe la Dunia la wanawake nchini Australia

  • | Citizen TV
    239 views

    Refa Mary Njoroge atapeperusha bendera ya kenya katika michuano ya kombe la dunia kwa wanawake nchini Australia na Newzealand baadaye mwezi huu. Muamuzi huyo wa fifa anasema kwamba yuko tayari kwa jukumu hilo. Steve Shitera alikutana naye katika uwanja wa chuo kikuu cha Kenyatta akifanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuondoka kuelekea Australia.