Rekodi ya Kunyonyesha I Rose Boke amenyonyesha watoto 17, 4 wakiwa wake

  • | KBC Video
    46 views

    Mpenzi mtazamaji, tafakari hili, kumnyonyesha mtoto ambaye sio wako? Kwake Rose Boke, mwenye umri wa miaka 37 imekuwa ada ya mja kwa kuwanyonyesha watoto zaidi ya 13 ambao walitelekezwa na kuwapa hifadhi katika Makao ya watoto ya God's Family, kituo ambacho alikianzisha mwaka 2019. Mwana-habari wetu Caroline Mwende aliweza kuzungumza na Rose na kutuandalia makala haya ambayo yatakujia kwa ukamilifu mwendo wa saa tatu usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #breastfeeding #News