Skip to main content
Skip to main content

Reynold Cheruiyot asema Kenya itatea taji la mbio za kupokezana kijiti katika mashindano ya dunia

  • | NTV Video
    123 views
    Duration: 1:26
    Mshindi wa nishani ya shaba duniani katika mbio za mita elfu 1500 Reynold Cheruiyot ana imani ya Kenya kutetea taji lake la mbio za kupokezana kijiti, wakati wa mashindano ya dunia ya mbio za Nyika zitakazoandaliwa Januari tarehe 10, mjini Tallahassee Florida, Marekani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya