Rhumba yaangaza usiku wa Carnivore kwa hafla ya Roga Roga

  • | Citizen TV
    295 views

    Wapenzi wa Rhumba walisherehekea miondoko ya jadi kwenye hafla ya kipekee ya Vibrant Back and Forth iliyoandaliwa katika ukumbi wa Carnivore jana usiku.