31 Aug 2025 7:37 pm | Citizen TV 549 views Duration: 1:00 Wapenzi wa Rhumba walisherehekea miondoko ya jadi kwenye hafla ya kipekee ya Vibrant Back and Forth iliyoandaliwa katika ukumbi wa Carnivore jana usiku.