Rigathi ahakikishia wakazi wa Laikipia usalama wao

  • | KBC Video
    29 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa maafisa wa usalama katika kaunti ya Laikipia kuimarisha juhudi zao katika kukabiliana na hali ya utovu wa usalama katika eneo hilo. Akiongea katika kanisa la kiangilikana la Christ the King mjini Nyahururu, naibu rais alisema serikali haitaruhushu utepetevu katika juhudi zake za kudumisha usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rigathigachagua