Rigathi airai idara ya mahakama isiwe kizingiti kwa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya serikali

  • | KBC Video
    32 views

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua ameirai idara ya mahakama isiwe kizingiti kwa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya serikali inayonuia kuwanufaisha Wakenya. Akiongea leo alipoungana na maelfu ya wanariadha na mashabiki wa fani hiyo, katika mashindano ya kitaifa ya Tinderet Barnge-tuny Mountain Run, Kaunti ya Nandi,Gachagua alisema si sawa kwa maafisa wa idara hiyo kuhujumu miradi ya serikali kupitia mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive