Rigathi Gachagua adai kuwa serikali ilikuwa na nia ya kumuangamiza

  • | NTV Video
    6,635 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amedai kuwa serikali ilikuwa na nia ya kumuangamiza hapo jana.

    Gachagua amesema kuwa maagizo yalikuwa yametolewa, apuliziwe sumu, ambayo ingemmaliza baada ya miezi mitatu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya