Rigathi Gachagua akosolewa na wandani wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    337 views

    Wandani wa Rais William Ruto eneo la kati wamemtaka Kinara WA DCP Rigathi Gachagua kukoma kuwadhihaki Kwa misimamo waliyo nayo kisiasa, wakimtaka kukumbatia siasa za sera na utendakazi