Rigathi Gachagua asema serikali itakabiliana na wanaolaghai wakulima katika sekta ya maziwa

  • | Citizen TV
    402 views

    Naibu rais amesema kwamba serikali ya Kenya kwanza itakabiliana na wkiritimba wanaowalaghai wakulima hasa katika sekta ya maziwa. Gachagua aliyasema hayo alipozuru kiwanda kipya cha maziwa cha kcc mtaani dandora hapa jijini nairobi.