Rigathi Gachagua kuelekea Seneti juma lijalo

  • | KBC Video
    253 views

    Wakenya wanaendelea kutoa hisia mseto kuhusiana na kubanduliwa kwa naibu rais Rigathi Gachagua. Huku baadhi wakishutumu hatua hiyo, wengine wanahimiza bunge la seneti kukamilisha kile ambacho bunge la kitaifa lilianza. Wakati huo huo, viongozi wa chama cha ODM wamepongeza uhusiano wa kikazi baina ya rais William Ruto na Raila Odinga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive