Skip to main content
Skip to main content

Ripota akimbilia Ikulu kutafuta usalama

  • | BBC Swahili
    7,240 views
    Duration: 16s
    Tazama video inayomuonesha mwandishi wa habari akijikinga wakati milio ya risasi ikisikika karibu na Ikulu ya Marekani (White House), ambapo maafisa wa usalama walimpiga risasi mshukiwa ambaye baadaye alifariki dunia Raia mmoja aliyekuwa karibu na eneo hilo pia alijeruhiwa kwa kupigwa risasi wakati wa tukio hilo, huku Rais Donald Trump akiwa ndani ya White House lakini hakupata majeraha yoyote. “Tunaweza kuthibitisha kuwa wakati wa tukio hilo, raia mmoja pia alipigwa risasi. Hakuna afisa yeyote aliyejeruhiwa,” taarifa hiyo ilisema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw