Ripoti: Samuel Migiro alipigwa kwa silaha butu kisha akazama baharini

  • | NTV Video
    953 views

    Ripoti ya upasuaji ya mwili wa Samuel Migiro uliopatikana katika eneo la bwawa la baharini jijini Eldoret ilitolewa huku ikiashiria kwamba mwendazake alikufa kwa maji baada ya kupata majeraha ya kichwa na sehemu zingine mwilini kutokana na kupigwa na silaha butu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya