Ripoti Ya Kazi China: Ukuaji wa uchumi kuleta maendeleo duniani

  • | KBC Video
    13 views

    Mara tu baada ya kutolewa kwa ripoti ya kazi nchini China, wataalamu kote duniani wamekuwa wakifuatilia na kutoa maoni chanya. Kwenye mkutano wa pamoja nchini Kenya, wataalamu wameelezea matumaini yao kwamba ukuaji wa uchumi duniani utaleta mabadiliko makubwa sio tu kwa China yenyewe bali pia kote duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive