Ripoti ya KNBS inaashiria ukuaji mzuri katika uundaji wa ajira zisizo rasmi

  • | NTV Video
    37 views

    Takwimu za hivi karibuni za ajira kutoka Shirika la Kitaifa la Takwimu (KNBS) kwa Utafiti wa Kiuchumi wa 2025 zinaonesha picha mchanganyiko.

    Ripoti hiyo inaashiria ukuaji mzuri katika uundaji wa ajira zisizo rasmi na ongezeko dogo katika sekta mamboleo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya