Skip to main content
Skip to main content

Ripoti ya Matukio ya Oktoba 29, 2025 italeta matumaini kwa Tanzania?

  • | BBC Swahili
    17,010 views
    Duration: 2:40
    Tanzania kwa sasa ipo katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa dhidi ya ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025. #bbcswahili #tanzania #Oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw