Ripoti ya MCK yasema Citizen TV inaaminika zaidi nchini

  • | Citizen TV
    667 views

    Runinga ya citizen imeendelea kuwa runinga bora inayotazamwa zaidi na kuaminika kwa habari na vipindi vyake nchini. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na baraza la vyombo vya habari nchini, runinga ya Inooro TV ambayo pia inamilikiwa na kampuni ya Royal Media Services ni ya pili nchini . Aidha radio citizen inasalia kuwa kipenzi cha wasikilizaji wa radio nchini